Genesis 26:20-21

20Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki,
Eseki maana yake ni Ugomvi.
kwa sababu waligombana naye.
21Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna.
Sitna maana yake Upinzani.
Copyright information for SwhKC